MISTARI YA WIMBO HUU

Huhitaji elimu kubwa kutambua
Mapenzi yamekuangukia
Na hakuna atayainua
Kuyatoa viganjani mwako oh
Hupaswi kuhofia
Peke yako unanijua
Hakika nalinda
Usihofu hutochukuliwa
Nasali kila siku ipitayo
Tufani tuepukane nayo, oh

Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi

Yapo nazuri yangu
Yapo mabaya pia
Lakini mazuri na mabaya yakiungana yanamaanisha
Kuna binadamu kwenye dunia
Bileke bigendeā€¦
Duniani kwa kupatia
Duniani kwa kukosea
Muhimu kusamehana
Na maisha yaendelea
Duniani kwa kupatia
Duniani kwa kukosea
Muhimu kusamehana
Na maisha yaendelea

Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi
Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi
Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi
Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi
Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi
Niamini
Nataka uniamini
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi
Hivi kwa nini
Hutaki kuwa na mimi
Nyoyo ziwe pamoja mpaka siku ya kifo uanze wewe au mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU