MISTARI YA WIMBO HUU

Nieleze nieleze mpenzi
Kosa gani nilotenda kwako
Kitu gani kilichokufanya
Mpaka ukanishusha thamani
Ni juzi juzi nilikufuma mpenzi ii
Na mwanamke bar
Nilipokuulizia yule ni nani ii
Ukasema ni wako dada
Wewe mulongo oh, wewe mulongo
Si wewe, si wewe, wewe mulongo

Waniacha peke yangu nyumbani
Wakula chips vibandani
Waniweka dhama na majirani
Oh hatuelewani
Waniacha peke yangu nyumbani
Wakula chips vibandani
Waniweka dhama na majirani
Iih hatuelewani

Mboni na macho yangu vimefungwa aah kutazamaaa
Mdomo na moyo wangu vimezibwaaa kuongeaaa
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma

Maisha ya mapenzi si rahisi
Kuishi na mpenzi ni kazi
Yapo mashamba mengi yanahitaji kulimwa
Please jembe langu no kutoaaa
Mimi nawe tumeadhimishwa
Na wazazi mpaka tukaoana aah aa
Nilijua utanipenda aah wewee ee
Ndoa yako utaitunza babaa aah aa

Waniacha peke yangu nyumbani
Wakula chips vibandani
Waniweka dhama na majirani
Oh hatuelewani
Waniacha peke yangu nyumbani
Wakula chips vibandani
Waniweka dhama na majirani
Iih hatuelewani

Mboni na macho yangu vimefungwa aah kutazamaaa
Mdomo na moyo wangu vimezibwaaa kuongeaaa
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma

Ina maana tunda langu la roho na moyo umeshazima
Na ndo maana toka jana na leo umenuna kutwa nzima
Ungejua moyo wangu kila siku nalala lakini usingizi sina
Mi nawaza penzi langu ni lini utakwisha ufukara tupate heshima
Aah natanga tanga mi juani
Naranda randa mitaani
Kidogo nikipatacho mi, ni lete nyumbani
Natanga tanga mi juani
Naranda randa mitaani
Kidogo nikipatacho mimi, ni lete nyumbani
Ooh ooh nilete nyumbani
Nilete nyumbani

Mboni na macho yangu vimefungwa kutazamaaa
Mdomo na moyo wangu vimezibwa kuongeaaa
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma
Vile ninavyomfuma, vile ninavyomfuma

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI