MISTARI YA WIMBO HUU

Maisha yangu mi
Nmeshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi

Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani

Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai

Heshima ya mapenzi ubora wa mapenzi
Wawili kuaminiana
Heshima ya mapenzi furaha ya mapenzi
Mimi na we tukipendana

Nami ninaapa kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya kinyume na thamani ya pendo nikakosa

Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani

Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai

Maisha yangu mi
Nimeshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi

Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia
Hekima na ukarimu wako busara na imani

Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata
Milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda
Hadi mwisho wa uhai

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU