MISTARI YA WIMBO HUU

Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly

Tupae tukaishi mbali na maumivu ya moyo mpenzi
Mbali na mtandao wa mapenzi
Tumuachie mwenye enzi vile nje ya uwezo
Sio siri tena twende Habari Maelezo
Sio mia kwa mia ila unanitosha vigezo
Si ni pair nice couple mtaani gumzo
Nataka nikupe mapenzi daraja la kwanza
Tupae mbali sana air Lufthansa
First class shori you deserve this
Ni kweli sio story we ndo kitu na-miss
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu

Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly

Twende nikupeleke mount Kilimanjaro
Let’s go deep down in the Ngorongoro crater
Siku mbili tatu pale Mto Wa Mbu
Picha nzuri za mbugani kama kumbukumbu
Kisha nikumiliki shori huu ndo mpango wangu
Utenzi toka chini ya uvungu moyoni mwangu
Mtoto wa kitaani alestaarabika
Mama Afrika mwanamke wa ndoto zangu
Na silaha tosha za kuchosha adui zangu
Kama mimi ni mfano wa wengi basi unao
Kama nipo peke yangu basi una mimi tu boo

Hebu mpenzi usipate taabu (my boo)

Juu ya vile vinavyokusibu
Kaza usilegeze wasivuruge utaratibu
I don’t need your address mama
Sitaki niku-undress kama
Nataka um-replace mama ‘angu
Mwanamke wa ndoto zangu
Ulee familia yangu

Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Oh oh I’m ready to fly

Tujiandae kwa samahani ila kama hatusamehani
Hakuna kusalimika kwa Maanani haki ya nani
Sio kilevi sio tamaa ni mapenzi kweli
Mi nakustahili wala usinione zali
Shinda siri za jeshi kwa hii serikali nikutunze
Hadhina ya mapenzi jidahi ukiwa na mie
Hazina ukingoni sio za sakafuni hizi mbio
Ni tamu sana ongeza sauti ya redio
I’m in a good mood in the good groove
And I know you gon’ like this trust me

Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Nikumbatie I’m ready to fly
Ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Oh oh I’m ready to fly
Oh oh I’m ready to fly

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI