MISTARI YA WIMBO HUU

Mkubwa Na Wanawe, Na Wanawe

Mkubwa Na Wanawe, Na Wanawe

Macho yananiumiza roho
Silali nisipokuona mi naumia roho
Kwenye mapenzi hakunaga komando
Unapokuwa mi nazi-miss shoo

Nibusu nikubusu, nikupeti peti chumbani
Kukuacha sithubutu, we wangu halali mwandani
Nibusu nikubusu, nikupeti peti chumbani
Kukuacha sithubutu, we wangu halali mwandani

Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni

Niu niue, mahaba niue
Niu niue, mahaba niue

Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni

Wo, wo, wo, wo
(Hiki kisiki cha mpingo, cha mpingo)
Wo, wo, wo
(Acha mwenzenu nicheke japo nna pengo)
Wo, wo, wo, wo
(Hiki kisiki cha mpingo, cha mpingo)
Wo, wo, wo
(Acha mwenzenu nikenue japo na pengo)

Wanavyokupiga majungu mwenzako natetemeka
Naogopa wachina, wazungu wakaja wakakuteka
Wanavyokupiga majungu mwenzako natetemeka ah
Naogopa wachina, wazungu wakaja wakakuteka

Niu niue, mahaba niue
Niu niue, mahaba niue

Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni

Waogope wala bata, watakuchukua
Kama pesa tutapata, my baby vumilia
Waogope wala bata, wanakusumbua
Kama mtonyo tutapata, nasi tutatumia

Wo, wo, wo, wo
(Hiki kisiki cha mpingo, cha mpingo)
Wo, wo, wo
(Acha mwenzenu nicheke japo nna pengo)
Wo, wo, wo, wo
(Hiki kisiki cha mpingo, cha mpingo)
Wo, wo, wo
(Acha mwenzenu nikenue japo na pengo)

Kwa yako madoido, fundi kitandani una fujo
Wamzidi Eddy Kurdo, mama wajiweza hadi judo
Oh kwa yako madoido, fundi kitandani una fujo
Wamzidi Eddy Kurdo, mama wajiweza hadi judo

Waogope wala bata, watakuchukua
Kama pesa tutapata, my baby vumilia
Waogope wala bata, wanakusumbua
Kama mtonyo tutapata, nasi tutatumia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI