MISTARI YA WIMBO HUU

Ohh  ohh
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Uh
Walisema demu wangu kwamba wewe kicheche
Oh
Magari ya kifahari yanakupa mawenge
Oh
Kumbuka mapenzi yangu hakuna zaidi ya wewe
Oh
Maneno mengi hayavunji mfupa
Maneno ni mengi mwenzio siwezi
Usingizi sipati
Najuta mapenzi kupenda sitaki tena
Unanipa wazimu
Maringo ni yako yananipa wakati
Wakati uuh
Sasa mimi
Nimekubaliii we

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Oh
Unajifanya mjanja
Oh
Kumbe bonge la mshamba
Oh
Unadaka mikwanja
Oh
Kumbe demu wa viwanjaa
Gheto usije demu mapepe full kicheche
Oh, oh
Jikatae usepe najuta kupenda ulichonitenda
Yea
Uliniacha mi mpweke
Ukisubiri niteseke
Kina fulani wanicheke
Darling yeah yeah

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Sikia
Love imegeuka glass ma  tugonge cheers
Silipi kisasi ila nitatoka tears
Bora ingekuwa risasi Umenishoot nishajifia
Ila ma inan-ipain basi navumilia
Mbona mi nasikia halafu na bushit
Watu wakiniambia nawaona wazushi
C’mon message imefika ma please hit back
Kwangu malaika nafeel this track
Niko me na TID tunalia everyday
Hata kula sijisikii muulize hata master Jay
Niko tu saa zingine nakuwaza kila saa
Naona kama wana bana ukishine nakachaa
Ma
Ukiwa haupo nakumiss
Ila siamini nikiondoka unanidis
Na
Nataka tuishi kwa peace
Please mi niamini kukuacha sio rahisi

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI