MISTARI YA WIMBO HUU

Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah
Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah

Tai, oh nilikuwaga na mupenzi, akanizingua
Hivyo nataka muenzi kwa haya maradhi naugua
Isije siku, miezi nae akanisumbua
Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huba mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
We si unajua?
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa
Wengi ni wajanja, watoto wa mjini wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa
Wengi ni wajanja, watoto wa mjini, nimpende nani?

Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah
Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah

Yasiwe kama ya Wema Sepetu kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti peti
Usimtake ka Uwoya, nimteme ana hasira, mpole kama Jokate
Ila ka sauti ka Wema akiwa analia, kicheko kama cha Fetty
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huba mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
We si unajua?
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa
Wengi ni wajanja, watoto wa mjini wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa
Wengi ni wajanja, watoto wa mjini, nimpende nani?

Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah
Nimpende nani, nimpende eeh
Nimpende nani, nimpende aah

(Oh nilikuwaga na mupenzi, akanizingua
Hivyo nataka muenzi kwa haya maradhi naugua)

(Oh nilikuwaga na mupenzi, akanizingua
Hivyo nataka muenzi kwa haya maradhi naugua)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI