MISTARI YA WIMBO HUU

Sio siri mama nilikujali sana
Na kujiheshimu
Nilijua kwamba Mungu akipenda
Nitakuwa nawe
Usidhani kwamba nilikusudia
Kutengana nawe
Mi sijui hapa nilipo saa hii
Nimefika vipi

Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nikautua

Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nikautua

Ningefanyaje na we haukuwa karibu na mimi
Lakini ye ndiye aliyekuwa ananijali mimi
Nitafanyaje na ye yu tayari kuishi na mimi
Lakini we ndiwe tulizo la moyo wangu mimi

Sio siri baba nilikupenda sana
Na kukuthamini
Nikiamini kwamba Mungu akipenda
Nitakuwa wako
Mi najua kwamba umekusudia
Kutengana nami
Na mi sijui hapa tulipo oh oh
Tunatoka vipi

Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa (na wangu nikautua)

Ningefanyaje na we haukuwa karibu na mimi
Lakini ye ndiye aliyekuwa ananijali mimi
Nitafanyaje na ye yu tayari kuishi na mimi
Lakini we ndiwe tulizo la moyo wangu mimi

Ningefanyaje na we haukuwa karibu na mimi
Lakini ye ndiye aliyekuwa akinijali mimi
Nitafanyaje na ye yu tayari kuishi na mimi
Lakini we ndiwe tulizo la moyo wangu mimi

Ningefanyaje (oh aya yaya)
Ningefanyaje (oh aya ya)
Ningefanyaje (oh aya yaya)
(Oh aya ya)
Ningefanyaje (oh aya yaya)
Ningefanyaje (oh aya ya)
Ningefanyaje (oh aya yaya)

Oh aya ya
Oh aya yaya
Oh aya ya
Oh aya yaya

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU