MISTARI YA WIMBO HUU

Mangudu Digi
Dark Master
Ngwair
Cowboys in the House
Maseela
(Maheela)
C’mon
Cowboys in the
Maseela

Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)

Yo
Mtoto wa kiume najituma na nguvu tena jasiri
Hata shule sikusoma sikuwa na hela skuwa na akili
So
Nipe dili mbili kila alfajiri
Then
Then usinipe zaidi ya wiki mbili
Usiponiona ujue nishatambaa nishasafiri
Yaani niko mbele mi nasaka mahela
Nipeni nipeni dili masela
Nipeni dili mi nikamate mahela (maheela)
Nicheke
Hata bar zetu ni za vichochoroni
Usishangae tukishindia komoni
Tunapenda sana ma wine ma champagne
Lakini ndo vile tena hatuna mahela
Tunatamani mamisosi ya kumwaga ni ma’ pizza ma’baga
Na mazagamazaga (mazaga)
Ila ndo vile tena hatuna mahela
Leo wenyewe ma’cowboy wameshindia mapera
Tumekondeana kama miili ya misumari
Si unajua kuwa mwili huwa haujengwi kwa tofali
Bali kwa ugali wa maharage uu pizza pepperoni
Au kitu cha beef then mixer macaroni
Inapendeza ni mambo tu ya fedha full diet ni muhimu ipatikane kwa meza
So nyie mnasemaje masela
Tusake dili tukamate mahela right
Maseela

Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)

Yo
Sijui hata nifanye dili ipi naona kama vile zote hazilipi
Yaani
Nishaamua mi kufanya muziki kuja 41 nae eti anataka mahela
Nimeshachoka haya maisha ya mtaani
Ofisi maskani breakfast mjani (of course yes)
Wakati kichwa kinawaza mamilion
Vipi nita’ride na marque stallion (check bling bling)
So kila kona ya mtaa kujimix
Figure dili one two one two the five six
Ikiwezekana unapiga hata fix
So acha uoga wa kulala sjui kituo cha polisi
Bila mapene jua mengi utamiss
Achia mbali lazima wajinga wata diss
Mi mwenyewe mtu fulani wa ma’chicks
Vipi nitaopoa miss bila ya kuwa na mahela
Sio visenti kama fifty fifty
Kutembea mfukoni mchizi sina hata jiti
So nyie mnasemaje masela
Tusake dili tutadaka mahela yeaah
Maseeela

Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)

Na na
Sijui nimcheki Fredy Bob Waziri
Au mwanangu Zizzou sijui nani anipe dili
Tena iwe moja tu yenye akili
Ile ya kulala maskini na kuamka tajiri
Nipeni dili nami nitoe mashairi yenye akili
Ili wenye sigiri wote wakiri
Na kabla ya vocals ni smoke up Bob Marley
Kisha nitoe rhymes zenye sumu kali ka rift valley
Na burn copy ka ice cream za Bakhresa ni’make more money
More dough more pesa (cash)
Na waliozusha majombaz wawe teja
Kisha wapange foleni kuja kugombea umeneja (haha)
Na wasionipenda ndo wazidi nichukia
Ila dada zao kwenye kona sitoacha kuwabambia hola
Au mnasemaje masela
Na dawa yao ni kupata mahela nipeni dili
Maseela

Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)
Nipeni dili nipeni dili masela (maheela)
Nikamate mahela (maseela)

Maseela
Maheela
Maseela
Maheeela (c’mon)
Maseela
Maheela
Cowboy
Maseela
Maheela
Maseela
Maheela

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU