MISTARI YA WIMBO HUU

Ni furaha kwetu mpenzi
Tusicheze tena na raha hii
Nishike mkono mpenzi
Tuwaonyeshe mabadiliko
Tabasamu uh
Ndo njia pekee ya kuonyesha tumeridhia, tumeridhia

Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono

Nipe kiss kwenye lips
Kweupe hadharani kama vipi, basi vipi
Tuwe kifimbo kama Nyerere, vijiti watabeba wao
Batani kama mbefere, ya nje au ndani mabao
Kipwani pwani mambo flani, ujinga weka kando
Mami D-Knob ni mtambo, Jos kama Kigambo
Haufanani na mademu wa Carolight
Home tuna-spend the night
We Ks kama Ketty na Koba machizi wa Kiwalani
Kwichwa kwenye bege la mndinga tuki-cruise town
Mshiko juu ya dashboard, traffic kuwa cool down
Mikasi kwenye redio, Ngwair rest in peace, man
Nego si watoto, japo kila mechi dry

Ni furaha kwetu mpenzi
Tusicheze tena na raha hii
Nishike mkono mpenzi
Tuwaonyeshe mabadiliko
Tabasamu uh
Ndo njia pekee ya kuonyesha tumeridhia, tumeridhia

Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono

Another day, another hustle
Hata njia ya mkato baby tutafika tutakako
Michoro kama Picasso, miguu yote nta-score
Usoni tabasamu lako ntahakikisha lina-grow
If you go, then I go
Niki-blow, uta-blow
Ta-ta-tata dada kama mchezo na my flow
Ka-ka-kata kama Pendo na my bro
Mkali kama serikali, mbele nyuma si hatari
Hot level mamii tulipo hatuhitaji majani
Matawi ya juu hewani, Langa rest in peace, man
Ukiniita Mr Sahani, nami nitaitika, honey

Ni furaha kwetu mpenzi
Tusicheze tena na raha hii
Nishike mkono mpenzi
Tuwaonyeshe mabadiliko
Tabasamu uh
Ndo njia pekee ya kuonyesha tumeridhia, tumeridhia

Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono
Nishike mkono nikushike mkono

Hii ni special kwa mitaa
You know I got you, cause you got me

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI