MISTARI YA WIMBO HUU

Ma man, Tiddy Heartz
Weka vyombo juu ya meza
(we on it, we on it)
Mtoto mzuri namkonyeza
(nisome, nisome)
Kiuno mama umepewa
(tuone, tuone)
(Hehee hehee hee)
Show me what you got, baby
Show me what you got, baby

Nahitaji kupoza koo baada ya kufanya kazi
Na-cruise kwenye tinted kukwepa paparazi
Ni kukesha macho baada ya kuhustle
Niko na G..G..G..G Nako
Mara namuita muhudumu namuulza kama ana room
Na pia kama ana ndomu, naruhusiwa kuvuta ndumu
Niko na mrembo ni sumu, kama ni dhambi nihukumu
Tungi baada ya tungi leo nasimamia
humu humu
Mtoto wa uswazi akinimiss ana-call
Hana mbwembwe sijui mara shopping twende
mall
Me na-work busy hapa tuna-hook up baby
Ile ki-gangsta gangsta haina make-up baby

Askari wanauliza uliza
Wapi wanapuliza puliza
Harufu inasikika sikika
Tunawaambia calm down, calm down
Tumewaka waka
Haki ya Mungu I don’t see nobody
Tumewaka waka
Mitungi vishungi
Tumewaka waka
Na mi sivungi siungi
Tumewaka waka
Yesu na Maria sioni mbele

Ongeza vyombo kwenye meza
We on it we on it
Mtoto mzuri namkonyeza
Nisome nisome
Kama kiuno ulipewa tuone tuone

Hiiihiii
Tafadhari fungeni mikanda (ipi)
Tumetimba kipande na wana (vijiti)
Zimeni askari wametanda (titi)
Zipo juu viunoni na shanga (sippy)
Unachotaka natumia kipanga (ahaaa)
Watu mbwembwe, tumechizika kama milembe
Matumizi ka tuliuza sembe
Na hii ndio wanasemaga kama lembe
Usisubiri akwambie ana genye
Eeh maneno mtekenye
Toilenga mapaki ndapenye

Askari wanauliza uliza
Wapi wanapuliza puliza
Harufu inasikika sikika
Tunawaambia calm down, calm down
Tumewaka waka
Haki ya Mungu I don’t see nobody
Tumewaka waka
Mitungi vishungi
Tumewaka waka
Na mi sivungi siungi
Tumewaka waka
Yesu na Maria sioni mbele

Ongeza vyombo kwenye meza
We on it we on it
Mtoto mzuri namkonyeza
Nisome nisome
Kama kiuno ulipewa tuone tuone
Hehee hehee hee

Ma man, Tiddy Heartz

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI