MISTARI YA WIMBO HUU

Nami nangoja ule muda utimie
Maana nakonda aa haa
Baby naomba basi we uvumilie
Najua inachosha aa haa
Aah aa aah baby we ndo wangu
Aah aa aah nisubiri narudi
Aah aa aah baby we ndo wangu tu
Wangu tu

Nasubiri na muda ukifika baby nikuoe
Nasubiri masomo yakiisha uje tuishi wote
Maradhi ya mapenzi walonipa wewe ndo uniponye
My baby eeh aa aah
My baby eeh aa aah

Moyo wenye subira una baraka na bahati
Ikipotea subira usipoteze hata bahati maana niliumbwa
Nikungoje na uningoje na ndo maana sichoki kumuomba
Muumba wangu siku zote akulinde
Naamini mi ni chaguo lako milele nitakuwa wako
Hata iweje nitakufa kwako na nntapambana eeh
Nasubiri siku ya kula kiapo ile ndoto niwe mume wako
Natafuta mi kwa ajili yako
Oh pambana

Nasubiri na muda ukifika
(Baby nikuoe)
Nasubiri masomo yakiisha
(Uje tuishi wote)
Maradhi ya mapenzi walonipa wale
(Wewe ndo uniponye)
Mama wee
(Aa aah)
Mama wee
(Aa aah)
Najima weee!

Nisubiri nisubiri narudi mpenzi
Nisubiri nisubiri narudi mpenzi

Nisubiri nisubiri narudi muke wangu
Nisubiri nisubiri mamaa
Nitimize ndoto zetu sie ndoto zetu sie
Nitimize ndoto zetu ndoto zetu sie
Nitimize ndoto zetu ndoto zetu sie

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI