MISTARI YA WIMBO HUU

Ukitaka hela hustle, man
Mr Sahani
Kama huwezi chukua time
Up in here

Nina njaa, njaa ya mkwanja
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja
Njaa ya mkwanja

I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound
I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound

Parley kama kawa, maswi ni kama dawa
Ukipagawa chachawa, basi sawa
Napiga mkwanja na tabia sija-amplifier
Ukihitaji mwamba kwa kofia utaishia kunawa
Mitaani Most Wanted gear ndio brand amevaa
Machizi club wakiingia jua mademu wamejaa
Nipe gwara au chukua time, kutishana ndo mpango gani?
Usinipe mkwara kwa kuwa na-shine
Vita vya panga nakuja na gun
Usingoje ishara za nyakati, son
Unavyovitaka havipo angani
Japo unaviona na unavitamani, unavyoviogopa vina hiyani
Mi ni mguu kati, shoot makali zunguka
Mamii kakali Mungu kanipa talent
Dumba sina habari, ku-boom, ku-bum
Wema hatari kapuka, sijachunia mbali nikianguka
Naamka, navuta hata kama sina kibali
Ntarudi na kidari ukinitupa jangwani
Ntarudi na mali ukinitupa jalalani

Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Kwa jeans au kwa suti mi nasaka money)
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Popote tunapo-meet fanya yako nimwage)
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Kwa jeans au kwa suti mi nasaka money)
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Popote tunapo-meet fanya yako nimwage)
Njaa ya mkwanja

I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound
I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound

Wahangaikaji wanamtambua muhangaikaji for sure
Heshima huwezi nunua, ukinivunjia nakufua
Sifagilii michongo ya kujuta, mi sio mjukuu
Na-hustle ili kesho kutwa Vivica awe juu
Kiufahamu kama Newton plus wa kishua
Wasomi ni makunta kinte wanaojijua
Kuna wafungwaji na wafungaji of course zote naweza do
Wanyaji na wamiminaji, b*tch, which one are you?
Kwa basi, ndege au Fuso shoni nilitimba full
Zote sound nyea uzito na stejini sikupigiwa “BOO!”
Chaka simu no signal, weka kwenye map*mbu
Ukiona manigga chini wamevimba usifikirie wana mabusha
Mambwiga mjini wakitimba wazawa wanahamishiwa bush
Shout-0uts kwa wakinga, ukipinga unapigwa push
Mafanikio ya mtu mara nyingi ni maumivu ya mtu
Nahitaji zaidi ya kuku ndio maana niko huku

Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Kwa jeans au kwa suti mi nasaka money)
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Popote tunapo-meet fanya yako nimwage)
Njaa ya mkwanja

Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Kwa jeans au kwa suti mi nasaka money)
Njaa ya mkwanja
Nina njaa, njaa ya mkwanja (meticais, grand)
(Popote tunapo-meet fanya yako nimwage)
Njaa ya mkwanja

I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound
I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound
I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound
I’m about dollar, shillings, meticais, grand
Pula, euro, real, pound

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI