MISTARI YA WIMBO HUU

Nimeamini raha ya upendo ikipotea huwa karaha
Sikutaraji kama leo hii nitabaki na jeraha

My number one fan tatizo ni we umefanya anitose
Wakati bado nampenda nafsi imejawa upendo wake
My number one fan tatizo ni we umefanya anitose
Wakati bado nampenda nafsi imejawa upendo wake
Sikujua dhamira iliokufanya we uwe karibu na mi iih
Nafsi inanisuta kwa kumkwaza hana hata raha moyoni
Alidai anaenda ili atuache mimi nawe
Nami sitaki kupoteza penzi lake nifanyeje

You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her
You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her

Mi sijui hata nini nitafanya
Maana mpenzi hutaki nielewa
Ninakuomba kwa mara nyingine tena
Nisamehe we ndo nakupenda
Mwanzoni alidai anapenda nyimbo zangu
Jinsi navyoimba
Akasema angefurahi angepata muda wangu
Ajifunze kuimba
Kumbe nia yake hakuwa vile mi nilivyodhania
Kumbe shida yake ilikuwa ile mpenzi uloniambia
Kumbe nia yake hakuwa vile mi nilivyodhania
Kweli shida yake ilikuwa ile mpenzi ulioniambia

Sasa najutia ubishi wangu mi na kukupuuzia
Eti nisahau kuhusu we sababu yupo ye
Ndivyo alivyonitamkia
Sasa najutia ubishi wangu mi na kukupuuzia
Eti nisahau kuhusu we sababu yupo ye
Ndivyo alivyonitamkia

You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her
You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her

You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her
You just my number one fan
She’s the one and I love her
She’s everything in my life
My dreams depend on her

Kumbe nia yake hakuwa vile mi nilivyodhania
Kweli shida yake ilikuwa ile mpenzi ulioniambia
Kumbe nia yake hakuwa vile
Kweli shida yake ilikuwa ile mpenzi ulioniambia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU