MISTARI YA WIMBO HUU

Utaweza kuniangalia?
Wakati hakuna chochote kilichobakia
Je utaweza kunitambua?
Wakati hakuna yeyote anayenijua

Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi

Nyakati kila ahadi
Yaweza vunjwa kirahisi
Nahisi
Kila mtu anabidii
Ya kujilinda hofu wanahisi
Kuna uongo balaa
Na kukata tamaa
Ni rahisi sana siku hizi
Nataka kuamini ila
Naomba nipe ishara nami
Nyakati kila ahadi
Yaweza vunjwa kirahisi
Nahisi
Kila mtu anabidii
Ya kujilinda hofu wanahisi
Kuna uongo balaa
Na kukata tamaa
Ni rahisi sana siku hizi
Nataka kuamini ila
Naomba nipe ishara nami

Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi
Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi

Najua hakuna guarantees
Katika nyakati hizi
Ila nitaamini
Ukinipa ishara nami
Najua hakuna guarantees
Katika nyakati hizi
Ila nitaamini
Ukinipa ishara nami

Nyakati za mashaka hizi
Nakukosa imani
Ni rahisi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI