MISTARI YA WIMBO HUU

Usiku umekuwa mrefu kuliko kawaida
Machweo kwangu mimi yakawia kufika
Kulala imekuwa tabu usingizi umekatika
Mawazo mengi yamefunika hiki kichwa
Nyota ya mashariki mbona hufiki
Natamani kukuona
Uh asubuhi fanya haraka I need you

Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika
Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika

Umeuteka ubongo wangu nawaza siwazui
Wewe kaa moyoni mwangu wala siyajui
Nsipokuona inakuwa tabu mateso na adhabu
Nifanye nini mimi niwe nawe baby
Nyota ya mashariki mbona hufiki
Natamani kukuona
Uh Diamond
Asubuhi fanya haraka lets go

Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika
Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika

Beautiful is what you are yeah
I just wanna be with you girl
For the rest of my life
I say beautiful is what you are yeah
I just wanna be with you girl
Till they’ve decide who’s going first

Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika
Oh nikikuona
Mi nikikuona huenda nitafarijika
Oh nikikuona
Mi nikikuona shida zitasahaulika

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI