MISTARI YA WIMBO HUU

Sikiliza rafiki navumilia vingi vitimbi
Moyoni bado anaishi ila amejawa usaliti
Aliondoka akaniacha peke yangu
Huku nyuma nikalia na Mungu wangu
Haikupita hata mwezi alipokosa furaha akarudi
Ameshachora na tattoo jina la mpenzi wake mdanganyi
Lakini bado nilimpa moyo wangu
Nikiamini kuwa ye ni fungu langu niliopangiwa

Nyota na ing’ae kwako wee
(Nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee
(Nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika
Nyota na ing’ae kwako wee
(Nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee
(Nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Nishajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Ushajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo waniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Wakijipitisha kutwa kucha
(Waambie kwangu umeshafika)
Usidanganyike na zao pesa
(Pamba na magari ni vya kupita)
Wakijipitisha kutwa kucha
(Waambie kwangu umeshafika)
Usidanganyike na zao pesa
(Pamba na magari ni vya kupita)
Samboira kuruse simukane vyeu ye kutali (kutali)
Jichunge mama kantu sintopenda
Nikukose mpenzi wee
Samboira kuruse simukane vyeu ye kutali (kutali)
Jichunge mama kantu sintopenda
Nikukose mpenzi wee

Aisha Aisha
Eeh nyota (na ing’are baba wee) aah
Aisha Aisha
Uu uuh (na ing’are baba wee)
Aisha Aisha
Ee ee ee ee ehee
Aisha Aisha
Uko peke yako ndani ya moyo wa ooh eeh
Aisha Aisha
Uuh yeeeh
Aisha Aisha
Woo oo oh oo ooh oh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU