MISTARI YA WIMBO HUU

Mic check one-two toka Sinza Star
Kabla sijaanza sema suu lean nikupe bars
Watu wote mkono juu leo emcee wa kitaa
Anawarusha muda huu na kuwapa raha
Heyo cheki hili beat lina mizuka
Hauwezi kaa kwenye kiti man ebwana dah
Juu ya snare na hata kick mi navyotambaa
Wanakubali mashabiki wa hii sanaa
Nawapa ujumbe na kisha nawapa flavor
Washatambua kwamba mchezo nauweza
Sifanani na yeyote I got my own flow
Nimeshashika usukani kwenye hardcore
Kina kirefu mi ni gangsta ni hustler
Now which your status and the wrong king ni bachelor
Who wanna be my queen aunge tela
Twende wote home nimeshachoshwa usela
C’mon

Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat
Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat

Heyo napigiza pande zote mbili bado mi nakutesa
Nanesa nesa bado mi nakutesa
Ukivuruga vuruga pande zote bado mi nakukwepa
Nanesa nesa bado mi nakutesa
Mlala hoi nalala hai
Ma-rapper wa redio wacheni kutulaghai
Mambo bam bigiri bigiri bam bam Chief Rocka
Nachapa lapa sina utani ka Chris Tucker
Haa Mi ni Wu Tang kwenye game
Little man uki-complain damn
Mama alisema nikule ugali na kule ni mbali
Na zile ni shari ndo vile mi mkali
Nawakilisha Mwenge Sinza
Utaniambia nini mchimba chumvi vinza
Nachukua crown nakuacha na firm yako
Mi ndo yule rapper hupendi kumuona kwa game yako

Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat
Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat

Bum bap rap kwenye beat najidai
Hey new school hii ni old school vibe
Like ODB shim yeh shim yah
Natambaa na besela mambo yii mambo waa
One for the money two for the show
Amani kwa wanangu wa Aggrey Kariakoo
Bado nasababisha and I won’t stop
Like BCC; home of original Gang Cap
Mimi katika mic sina mchecheto
All my niggas from the sewer I know you feel me flow
Hapa Mwenge hapa Sinza; Zaiid na Mansu-Li
Bado tunakandamiza Kwaito zima
Naija zima Cheza bale na kasheshe huu mziki wa Kalapina
Kukuruka kala zako wewe zitakuponza
Wacha wee wacha wee wacha wee wacha wee

Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat
Microphone check ma baba
Microphone check
One-two one-two
Microphone check ma baba
Microphone check
Sija moka kwenye beat

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI