MISTARI YA WIMBO HUU

Kigori ushanipiga roba kabali
Silali penzi nshacheza kamali
Natupa kwako dolali (ayee)
Kwengne sina habari
Penzi lako tamu tamu hatari

Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie)
Yani penzi lako tamu tamu hatari
Unanikosha pale aeeeeh (palee)
Unavonyumbulika nyumbulika on bed
Yani dosalale umeniweza kabsa sijiwezi

I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby

Unavyosakata unanikuna mama eh
Umenilevya na body
Sio chakakacha wacheza kila ngoma
I wanna marry you marry you (uuh)
Ukinitazama jicho la maringo (eeh)
Me nachapa fimbo
Ukiinama ukiinuka fimbo

Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie)
Yani penzi lako tamu tamu hatari
Unanikosha pale aeeeeh (palee)
Unavonyumbulika nyumbulika on bed
Yani dosalale umeniweza kabsa sijiwezi

I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby
I’m yo passenger ooh passenger ooh baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU