MISTARI YA WIMBO HUU

 
Jah bless always
Yeah
Usinisikilize mi leo usinikilize mi kesho
Nataka usikilize akili yako iliyo special
Usinisikilize mi leo usinikilize mi kesho
Nataka usikilize akili yako iliyo special
A City is in a house Nahreel MJ
You already know what it is

Hiki ni chumba cha wanaume mchumba inatakiwa
Hizo sauti ziwe chini sio juu kama sidiria
Ila kuna vina vitamin kama ziwa
Kama hujiamini huamini umebarikiwa
Na kama ni duu do ya msingi ya maisha yako
Nikki ata-do ya msingi ya mwili wako
Speed niendeshe sio rough na maana
Hatuna familia so we familiana
No ana ana do spring matumbo
Usiku na mchana sana gym tuta-go
Gongo La Mboto langu puh Umeni-kill me
Gongo ni la kwako my boo come feel me
Hapa tight naingojea kati
Tanogea panty ikisogea kati bani pea
Pea na mwanamke aliyefanya nifukuzwe Eden
Unaponipa tunda bado najisikia heaven

Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea
Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea

Pea na mwanamke aliyefanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia heaven

Demu cheap namtia vocha kitandani ah ah
Siamini lady kupepeta wala Lady Gaga
Akutendae kwa sanaa asali imenoga hatoki na
Akupendae akikuzima zima woga chill na
Umwanamke kwenye akili mlezi na sio mama
Ni msichana kwenye mwili wa mwezi umeandama
Ya pili bikira yako ni mpenzi wako Nikki
Wema hawadumu ila Neema huharibiki
Sio njema kweli na bado una bao mantiki
Hujapagawa na uhuru uwanja wa marafiki
Na hiyo kabla ya kuzuru kiwanja ukamuona Nikki
Ukani-feel twende ghetto we ni moto ila biki
Hatuwezi kwenda ghetto labda nyumbani kwa Nikki ma
Hauku-tell ukarudi hostel kusikilizia mchongo niki-call kwenye cell
Nimeangukia kwenye uzuri cause kukuuzia uongo

Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea
Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea

Pea na mwanamke aliyefanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia heaven

Kwa muonekano tu mtoto ya my typer
Weusi ndo undugu njoo ujumuike kwa cypher
Usini-international uswahili kimataifa
Huyu jamaa si ndo humuitaga Makini mambo yamejipa
Naonekana mbali nusu ni nyota Mamajusi
Ukweli ndo mchezo wangu let me MC
Kama ni moshi nifanye Kilimanjaro
Wapinzani nimeukalisha kila barrel
Elewa mizito mistari yangu
Nifate ila nisikupate kwa u-star wangu
Usipagawe na unene wa mifuko mistari
Nisikutumie kama ninavyotumia hela zangu ni hatari

Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea
Hapo kati tanogea kati bani pea kati
Tanogea kati bani pea

Pea na mwanamke aliyefanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia heaven

 

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI