MISTARI YA WIMBO HUU

Wanasema kuishi kwingi ndo kuona mengi
Chaguo ilinishinda chaguzi nyingi
Kimsingi tulianza na msingi
And the winner is me and you washindi
Kweli namshukuru Mungu ashanare
Changu ni chako mega jipendelee
Sioni sababu mi nisikupendelee
Mi nashika we nishike tuendelee
Mahaba ni misumari nigongelee
Taabani niteketee
Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta
Swadakta manyota wadanta
Perfect combo na songa data
Na kama ni kamari basi mi ni taita
Jina lenyewe Joh Makini fighter

Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo

Ooh baby umenirogaroga juu chini (ooh juu chini)
If you do me do me better do you my boo (ooh my boo)
Vile natwanga hii kinu wachawi finyu
Unaniunda unapotumia mbinu
Penzi roho usiniendeshe
Uniogeshe nikuogeshe
Unionyeshe nikuonyeshe
Nilichowaficha wenzako
Kiti cha umalkia himaya ni chako
International sio tena local
Kama neti sio tena temporary
Kwa maneti wazipandishe habari
Shusha neti mimi na we ni party (oh baby)
Let me be your baby darling

Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo

How I wish you say baby (oh my baby eeh)
How I wish you say darling (my darling eeh)
I feel to say I don’t love you (I don’t love you)
I feel to say I no need you now (I don’t need you)
Oh my baby singular
Just ma so spectacular
Dance na mi irregular
Oh my baby no be lie
Dunia mingi mitihani
Jibu langu ni we we we
Majibu mi na we
Dunia mingi mitihani
Jibu langu ni we we we
Majibu mi na we

Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo
Me and you na perfect
Combo combo combo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU