MISTARI YA WIMBO HUU

Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu

Pesa ya madafu sio mpaka hadi pesa iwe ndefu
Sio rofa wa ningoje hadi mpaka nipate kitita cha costa ya mabasi
Maisha ni tough we sema tu maisha ni tough
Nahakika Bakhresa ana pesa hadi watoto wanasema eti pesa imewakifu
So me and my niggas we hustle
Just to get cheddah ya kumanga na Castle
We fightin disorderly yeah we tassel
Hadi referee anatupigia ma-whistle
My niggas I’m tryna get paid
Nafanya ili baba na food on the table everyday
Tupige dili tuwe vizuri magaya hizi shillings
Mi naita pesa ya madafu
Ni pesa tu ya maji ya kunywa we stuck in this life
Cause pesa ya mtaji hakuna
Wakati shefa anahonga Vogie wasichana
Street wana-suffer hela ya kisamvu na nguna… noma!

Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu

Pesa ya madafu
No matter iwe safi ama chafu
Naichanga ili iweze kuwa ndefu ili niweze kujenga ghorofa hata tatu
Mi navyotafuta we uliza viatu
Leo Nzega kesho nakimbiza Meatu
Mi mtu wa machaka pori ka chatu
Passport imejaa ma-visa european
I’m back let me get this rap money
I was just gone for a minute I ain’t running
Nilikuwa na-take of my business Allah my witness
Nipate chapaa nyingine
Pesa ya madafu
Ya kuweza kupata Chaser au Mark X
Bado kutushikisha wakaksi
I’m sick of the fact
That me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
I don’t give a F iwe ya noti au sarafu
Mi navyoenda lesi dogo utapasuka mapafu!
Nashesha sio nipate pesa ya isirafu
Mi nataka niwe tu financially enough arifu

Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Me and my niggas we hustling just to get pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Pesa ya madafu
Hata sh 100 inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU