MISTARI YA WIMBO HUU

Kimambo on the beat

Nilipotoka nilipona
Na vijimateso nilionja
Mola ananiongoza
Najiepusha na ulofa
Niko huku ako kule
Huyu ndio Mungu bwana hawezi vuruga game
Na we ndo kinara huku ako kule
Ameninyoosha sana ninajitambua

I am powerful sababu yako
Cause you’re powerful zaidi yao
Madugudugu shauri zao
Amani moyoni kutoka kwako
I am powerful sababu yako
Cause you’re powerful zaidi yao
Madugudugu shauri zao
Amani moyoni kutoka kwako

Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi

Wahenga wahenga walisema aliyejuu mngoje chini
Mimi msichana wa kisasa siwezi subiria chini
Niko gadogado
Napambana bado
Imani yangu kwako ndo nguzo kwako
Niko gadogado
Napambana bado
Imani yangu kwako

I am powerful sababu yako
Cause you’re powerful zaidi yao
Madugudugu shauri zao
Amani moyoni kutoka kwako
I am powerful sababu yako
Cause you’re powerful zaidi yao
Madugudugu shauri zao
Amani moyoni kutoka kwako

Eeeh yeah
Walisema sina na sitoweza weza kupata
Na ndo maana leo (wamefyata)
Walisema sina nyota yangu ya punda
Na ndo maana leo

I am powerful sababu yako
Cause you’re powerful zaidi yao
Madugudugu shauri zao
Amani moyoni kutoka kwako

I am powerful
Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi
Zaidi zaidi yao zaidi

Sababu yako
Zaidi yao
Shauri zao
Kutoka kwako
Sababu yako (sababu yako)
Zaidi yao

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU