MISTARI YA WIMBO HUU

Seen million places and faces
Nikaitwa lyricist na racist
Terrorist huniita bomb coz
(I’m a professional)
Na sio Satanic verse
Conscious zaidi ya Titanic
Nimezama
Sio kama nina float wananiita mfalme coz
(I’m a professional)
One of the realest illest chilliest cat you may see
Mwanajeshi kama Geronimoprats coz
(I’m a professional)
Manhood was my government
Uhuru is my land
NinamuOBAMA McCAIN coz
(I’m a professional)
Long time me i think me could change them plans
Niko na dreams kama za Lutherking coz
(I have a dream)
My speaking style ipo unique
Plain direct like an arrow
Wananiita Malcom coz
(I’m a professional)
Professor wa chuo kikuu cha Ghetto
Nawafunza kitaaolojia industrial politrix
Hustle matrix coz
(I’m a professional)
Napima umbali kwa mwendo
Kisha ninahesabu siku
Muda nausoma kwa jua ni kweli
(I’m a professional)
Na pause kama comma kwenye sentensi
I’m the first and second
Nang’ara kama almasi
Girls’ best friend
Killing them tracks that’s what I’m best at
Vyema na hizi selfexpressions
Less nightmares more visions

(I’m a professional)

(I’m a professional)

(I’m a professional)

(I’m a professional)

Sinto-quit kama Nike I JUST DO IT
Sijipaki matope kwenye hii dunia ya nguruwe
Wala si stop nikiona red (ni)natafuta daily bread
Sasa I’m fully paid coz
(I’m a professional)
Mie ni zaidi ya bling bling magari
Pesa au kile ambacho hakiuzwi kwa bei ya chini and
(I’m a professional)
Mr. International passport iko pimped
Usilete nyodo kama za Michael Jackson Bongo kuna stink
(I’m a professional)
Panya havai miwani ukimgeza utakula carrot
You are the best of the worst and
(I’m a professional)
Sihitaji groupie love sababu wengi ni materialistic
Unaweza rudi home kwa mama na ukora una alama ya lipstick
Secret sins won’t stay secret for very long
Ninajiheshimu niheshimike coz
(I’m a professional)
Natokea Mwanza home of the greatest rappers
Mtoto wa Dandu comes first then
(I’m a professional)

(I’m a professional)

(I’m a professional)

(I’m a professional)

(I’m a professional)

Samia X huniita Fid Q the future
Machache niliyopitia kuna mengi nimejifunza
(I’m a professional)
Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisichokijua
Nitakuwa mjinga kwa sekunde kisha
(I’m a professional)
Nguvu ya elimu ina umuhimu pale elimu ikitumika
Nalipwa kwa vyote ambavyo huvijui
(I’m a professional)
Muda mwingi nipo sober kazi na sala kama Makoba
Naamini Mungu ni mmoja ndo maana
(I’m a professional)
Tena I’m so grateful thankful
Ili nipate mema natumia ufahamu
(I’m a professional)
Wanaongea walichosikia mi nasema ninachojua
Na sio ugly flow iko handsome
(I’m a professional)
So usini treat kama second class person
Utakuwa umefanya first class mistake hey
(I’m a professional)
And I’m the best looking kama linen
Ikiwa clean au kama duke akiwa kwenye machine
(I’m a professional)
Hip hop ni vile unavyoishi rap ni kile unachofanya
Sikio la kufa zibuka usikie hizi dawa
(I’m a professional)
Katikati ya jana na kesho hapo ndipo kuna muda wa kazi
Madeni kuzidi malipo ni mwiko
Mimi ni Professional (fessional fessional)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU