MISTARI YA WIMBO HUU

Luffa
Yeoh
This is a special song that goes out
To that one lady
Yeah aloushika moyo wangu right
You’re my queen

Been around and I’ve seen alot of girls
But my heart chose you
Get alot of girls and liked alot of girls
But my heart loved you

Hata waseme ntabaki na we
Stori zaundwa ili watu waongee
Ukweli wa ndani twajua mi na we
Hata waseme ntabaki na we
Ukweli wa ndani twajua mi na wewe
It’s how we feel

Nakupenda mamaa ohoo woo
I love you girl ye yah
Nakupenda mamaa ohoo woo
I love you girl ye yah

Vile mi na-hustle kuweka mambo sawa
Nikuone ukiwa na furaha
Tabasamu lako ndo linanipa raha
Sometimes mi nakesha nashindwa hata kulala
Nikikosa mwenzako napagawa
Vipi ntakutunza ma baby tuwe sawa aah

Moyo utahangaika nikikosa we
Machozi yatantoka nikikuwaza we
Eti uondoke nibaki mwenyewe
Ndo maana napambana nikutunze we
Usiku na mchana nitafute mawe
Sababu siwezi kuishi bila wewe

Nakupenda mamaa ohoo woo
I love you girl ye yah
Nakupenda mamaa ohoo woo
I love you girl ye yah

Hata waseme ntabaki na we
Stori zaundwa ili watu waongee
Ukweli wa ndani twajua mi na we
Hata waseme ntabaki na we
Ukweli wa ndani twajua mi na wewe
It’s how we feel

I love you Bukee
Switcher Rooocka

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI