MISTARI YA WIMBO HUU

Rahisa mpenzi njoo
Tukapime tufunge ndoa
Tupande chart njoo
Wenye wivu wajinyonge
Tuvute raha nitoe tabu
Penzi letu lidumu sana
Rahisa mpenzi

Then I wake up in the morning
Full Mount yuko mlangoni
Eti “TID what’s going on?”
Msela wangu we niache
Kuna demu namzimia
Kinoma noma, oh soo
Jina lake Rahisa
Ni mtoto wa kimombasa
Cheki chini alivyofungashia oh oh
Nampenda mpenda (wewe)
Namuwaza waza (wewe)
Kwani yeye ndie (wewe)
Rahisa baby

Rahisa mpenzi njoo
Tukapime tufunge ndoa
Tupande chart njoo
Wenye wivu wajinyonge
Tuvute raha nitoe tabu
Penzi letu lidumu sana
Rahisa mpenzi

Nikikaa nakuona mi machoni
Niki-party, niki-chill sikuoni
Nipe nafasi nikupe ya moyoni
TID mtoto wa Kinondoni
Niko tayari twende nyumbani
Kwa wazazi wako
Nitoe mahari, niwe nawe
Nakuwaza waza (wewe)
Nakupenda penda (wewe)
Kwani wewe ndiwe (wewe)
Rahisa baby

Rahisa mpenzi njoo
Tukapime tufunge ndoa
Tupande chart njoo
Wenye wivu wajinyonge
Tuvute raha nitoe tabu
Penzi letu lidumu sana
Rahisa mpenzi

Rahisa mtoto wa Kimombasa
Nakuja Bongo sikuoni
Rahisa mtoto wa kimombasa
Nakwenda Bils mbona sikuoni
Rahisa mtoto wa kimombasa
Nakwenda Zenji sikuoni
Rahisa mtoto wa kimombasa
Yoyoyoyoyo

Njoo mamaa, njoo uone tofauti ya ngono na love
Sweet sogea uone tofauti ya hadithi na live
Nakikumbuka kikuku mguu wa kushoto kimombasa
Nakumbuka baby mitego ya khanga, wazimu kabisa
Lafudhi ya pwani na unaitolea puani
Nashindwa kuvumilia, izungumzia haki ya nani
Mapenzi bila wewe hayawi huba niamini
Na naongea huku nacheka, japo kuwa haudanganywi
Waache wajipitishe sielewi, mimi Rahisa tu
Waache wajichekeshe siwaoni, kwangu milupo tu
Huba sio maneno naamini unafahamu
So ni TID na Khalfani, naitwa Binamu

Rahisa mpenzi njoo
Tukapime tufunge ndoa
Tupande chart njoo
Wenye wivu wajinyonge
Tuvute raha nitoe tabu
Penzi letu lidumu sana
Rahisa mpenzi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI