MISTARI YA WIMBO HUU

Niache nifanye kusudi
Ikibidi nifanye kufuru
Wanitangaze hata sana
Kwani mi ninavyompenda mwingine hakuna
Kanifunga gamba cha chini cha sunna
Kaniganda ganda baridi hakuna
Mtundu wa kitanda ah
Na lake jaramba ah

Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi

Acha kusema waseme wala sijali
Haya yake masebene mie sichezi mbali

Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua rarua rarua

Nimelamba utamu wa peremende
Kanifunga kabisa na kwao twende
Akanipe vya pwani; harua tende
Kweli nimesema simwachi
Nakaba mpaka penati
Nitabeba hata pochi
Nitalipie na cash
Ninasifiwa kupetipeti sijasifiwa kuvaa
Mi napuliza japo kuna net penzi lizidi kung’aa

Na siwezi ya walimwengu maneno
Naficha penzi wanang’ata bila meno

Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua rarua rarua

Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi
Mi nasema simwachi
Nakaba mpaka penati
Kwa utamu wa nanasi
Naufyonza mpaka basi

Acha kusema waseme wala sijali
Haya yake masebene mie sichezi mbali

Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua nawararua
Nawararua rarua rarua rarua

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI