MISTARI YA WIMBO HUU

Ain’t nothing change!
Ain’t nothing change!

Eeh! Baba anaua
Shida nyingi, raha nyingi lakini bado anatusua
Najua roho zinawauma, jinsi navyounguruma
Najua roho zinawauma, jinsi navyosumbua
Baba anaua ua, noise maker lord Izzy naua
Najua roho zinawauma, baba la baba naunguruma
Roho zinawauma ah yeah!

Ain’t nothing change, still jething baby
Mi kitu ile ile mpaka watu wa chagu wakwepe
Mipango ni ile ile, concious jipange tutoke
Dough itapatikana tu, guarantee ndo tusepe
Hakuna kilicho-change, ishu bado ni NYEUSI!
Kwa ndoto zao za mchana hata tukicheka tumewatusi
The truth, they can’t even catch up in the bench
Kwenye booth, hawajatema madini wanataka change
Pia, si ndo yale mating’a ya Tanzania
Iko wazi, si ndo mating’a wanahofia
Eeh! Baba anaua ua, noise maker lord Izzy naua
Siku nyingi sana unataka na najua
Ila michongo yako ndo sio, na haiwezi kua
Hayawi hayawi, leo yamekuwa
Ukimfananisha Mkapa na ukapa ni shida
Shida ya nani? Niambie wa jirani
Uswahilini ndo tunateseka, eti hii serikali ya nani?
Shida ya nani? Niambie we mtaani
Mashavuni watoto husoma mbele
Hizi za kata asome nani?

Eeh! Baba anaua
Shida nyingi, raha nyingi lakini bado anatusua
Najua roho zinawauma, jinsi navyounguruma
Najua roho zinawauma, jinsi navyosumbua
Baba anaua ua, noise maker lord Izzy naua
Najua roho zinawauma, baba la baba naunguruma
Roho zinawauma ah yeah!

Mtoto wa kweli una mitego, lakini Weusi hatutegeki
Eh mini mwenye diples, manager wako sipo
Simuiti kilaza, namuita kidampa
Vile anakibinua kitaa, kinamlazimu kapaka
Nini unapaka hizo? Uso umeng’aka
Una show, ama? Una ball, ama?
Una call, ama? Ndo zako ku-beep
Formula zangu ni noma, noma jomba
Wananiamshia popo, ndo maana nimewaambia msiniamshie popo
Lakini ndo vile mi nyie nawaashia popo
Amsha amsha, pressure dem, pressure dem
Ma-rapper vidampa wanafanana hivi..
Ukiwasikia redioni haujui nani ni nani hivi
Wakiona mfuko umetuna watakufa hivi, hivi, hivi, hivii

Eeh! Baba anaua
Shida nyingi, raha nyingi lakini bado anatusua
Najua roho zinawauma, jinsi navyounguruma
Najua roho zinawauma, jinsi navyosumbua
Eeh! Baba anaua ua, noise maker lord Izzy naua
Najua roho zinawauma, baba la baba naunguruma
Roho zinawauma ah yeah!

Najua roho zinawauma, roho zinawauma
Na ndo jina la track, roho zinawauma
Roho zinawauma baba la baba naunguruma
Roho zinawauma, roho zinawauma
Nilifikiri wanajituma, kumbe wanatumwa
Na hawawezi kutoka, wapo ndani wanaumwa

(Najua roho zinawauma, roho zinawauma
Roho zinawauma baba la baba naunguruma
Na ndo jina la track, roho zinawauma
Roho zinawauma, roho zinawauma
Nilifikiri wanajituma, kumbe wanatumwa
Na hawawezi kutoka, wapo ndani wanaumwa)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI