MISTARI YA WIMBO HUU

Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaiga wote mtapotea
Mtapotea
Mnaowaiga wote mtapotea
Mi sio role model
Mtapotea

I say kama mdada kaa mbali no gway
Ukishoboka star nakufanya chai
Hakuna video bila demu kuwa uchi
Hakuna sanaa tena ya kukomboa nchi
Kuvuta bangi na unga umarekani nimeiga
Role model kitaani nna vijana wananiiga
Wanakwisha kwisha
Wanatuiga kisa
Hawatujui kabisa kitabia
Aagh
Skendo skendo sio kiki kiki
Hizo wengi wetu ndo tabia
Aagh
Nana nasimbi Zanzibar ujamaa wa lakuda
Hizo haziuzi huku soko chura
Nani role model
Wanasema yule sista
Mwingi wa makalio kwenye page yake Insta
Siishi uhalisia
Uhalisia utani-cost
Bila nguo mpya siezi picha nika-post

Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaiga wote mtapotea
Mtapotea
Mnaowaiga wote mtapotea
Mi sio role model
Mtapotea

Waanzilishi magwiji
Wasisi wa skendo
Za jiji ndo sisi magwiji
Aagh
Ni role model labda kama umelewa
Aagh
Role model jijini analelewa
Elewa
Tumia kipaji sio mapaja
Elewa
Sanaa ni maadili yenye haja
Elewa
Sura yangu sio innocent
Elewa
Sura yangu labda ni kisenti
Elewa
Cent money mapene church
Elewa
Marry go round mapene siachi
Elewa
We mwanafunzi wa sekondari
Elewa
Ukiniiga ni posa bila mahari
Elewa
Dhambi iki-hit kama Yesu
Elewa
Haipaswi kuabudiwa sema yes

Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaita role models ni hatari
Hatari take care
Mnaowaiga wote mtapotea
Mtapotea
Mnaowaiga wote mtapotea
Mi sio role model
Mtapotea

Yeah
Maisha yangu fake siwezi nikawa role model
Usibugie jiwe haliwezi likawa embe dodo
Hata nikiwa kwenye media
Naongea kauli ya kibiashara kulinda brand
Siongei ukweli ha-ha
It’s the rap man
Dave Makoo
ChinBees
Along side my boy Easy William eh
Tranquillity cheese and brain
Afrocentric you heard
Ha-ha
You ain’t a role model nigga

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI