MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah!
Baby please come back home
Rudi nyumbani, baby

So baby please (baby, please)
Rudi nyumbani (sitaki kurudi)
Oh peke yangu mi naona siwezi (unaweza)
So baby please (baby please)
Nipe mapenzi (baki peke yako)
For sure I won’t let you go (bila mimi utaweza zaidi)

Nataka Afrika nzima ijue kama nakupenda
Kwa mwingine sitoenda
Penzi lako la kweli nalithamini
Baby rudi nyumbani
Pumzi yako kwangu naitamani
Penzi lako burudani
Ingawa mamiziki yananichanganya
Club tu kila wiki napenda kujichanganya
Mtoto nipate kula
Yeah, ingawa mamiziki yananichanganya
Matamasha kila wiki sikosi kujichanganya
Mtoto niweze kula

So baby please (baby, please)
Rudi nyumbani (sitaki kurudi)
Oh peke yangu mi naona siwezi (unaweza)
So baby please (baby please)
Nipe mapenzi (baki peke yako)
For sure I won’t let you go (bila mimi utaweza zaidi)

Napenda unavyonipa mi, chocolate, kadi na pipi
Lakini una acha roho
Muda wako na mapenzi, ndio vikubwa kwangu mi
Umesahau kwamba mi ni wako
Harufu yako inachi, sipati yako mapenzi
Nikumbatie teddy bear wangu
Mi nakupenda sana, bila we ntakuwa kichaa
Lakini madhara nimeyakubali
So baby.. yeah!

So baby please (baby, please)
Rudi nyumbani (sitaki kurudi)
Oh peke yangu mi naona siwezi (unaweza)
So baby please (baby please)
Nipe mapenzi (baki peke yako)
For sure I won’t let you go (bila mimi utaweza zaidi)

You’re my angel (my angel)
You’re my angel (my angel)
Ni wewe eiii
You’re my angel (my angel)
You’re my angel (my angel)
Ni wewe eiii

So baby please (baby, please)
Rudi nyumbani (sitaki kurudi)
Oh peke yangu mi naona siwezi (unaweza)
So baby please (baby please)
Nipe mapenzi (baki peke yako)
For sure I won’t let you go (bila mimi utaweza zaidi)
So baby please (baby, please)
Rudi nyumbani (sitaki kurudi)
Oh peke yangu mi naona siwezi (unaweza)
So baby please (baby please)
Nipe mapenzi (baki peke yako)
For sure I won’t let you go (bila mimi utaweza zaidi)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI