MISTARI YA WIMBO HUU

Where’s my money joh
Where’s my honey Njoo
Bila we ni presha nakesha

Ah Sista Jane
Safari ya mapenzi kitaane
Aziza Anitha Anne
Toka nanii anitukane
Eti sina pozi sina money
Niweke pozi au nikuchane
Nikupe kiki ujulikane
Hakuna kiki just fun-eeh
Sina mshahara ila shut out
Mziki biashara wananitaka leo kina Sarah
Sio mi sio Joh sio G Wara Wara
Watoto wanapenda asali
Watoto hapendi ukali
Hawapendi safari
Maisha kufika ni mbali
Na tena kwa msoto mkali

I love you waubani waubani (I love you)
Na huku I love your money
I love you waubani waubani (money)
Na huku I love my money
(Ah I love my money)

Ma mi na wewe si journey
Safari it’s not funny
Jamani hawataki kuni-crown me
Usijali haki ya nani
Demu alidhani mi ni Jigga
Nikamuacha akidhani nikapiga
Hakuna gold wacha digger
Utachezea wazungu wa nigga
Mashopping kutwa kwa maduka
Saluni mawigi kusuka
Madisco majoka kuruka
Na jina nimwandike kwa chupa
Kwa miguu hata nikamaliza moka
Mi bado sikuwa Kanye
Kumbe kasista duu kitambo kalikuwa
Kardashian
Hamna kitu kichwani dash yaani
Watoto wanapenda asali
Watoto hapendi ukali
Hawapendi safari
Maisha kufika ni mbali
Na tena kwa msoto mkali

Where’s my money yoh
Where’s my honey Njoo
Bila we ni presha nakesha nawee
Where’s my money yoh
Where’s my honey Njoo
Bila we ni presha nakesha nawee

I love you waubani waubani
Na huku I love your money
I love you waubani waubani (money)
Na huku I love my money
(Ah I love my money)

(I love my money)
Ah
Utanipiga deki nikikudekeza
Maisha safari ndo kuwekeza
Mara nataka iPhone mmh
Nikakanunulia apple
Kakatafuna kisha nikakatafuna
Kakataka outing nikakatoa nje
Kakapiga upepo nikakaimbia XO
Mapenzi mama ntakupa pepo
Mambo za nini nini ehh utaharibu depo
Mi ni zero juu yako
Simama pembeni kushoto
Tukamilishe kumi
Watoto hapendi ukali
Hawapendi safari
Maisha kufika ni mbali
Na tena kwa msoto mkali
Ey Wuuh

Where’s my money yoh
Where’s my honey Njoo
Bila we ni presha nakesha nawee
Where’s my money yoh
Where’s my honey Njoo
Bila we ni presha nakesha nawee

I love you waubani waubani
Na huku I love your money
I love you waubani waubani (money)
Na huku I love my money
(I love my money)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Comments are off this post

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI