MISTARI YA WIMBO HUU
Kioo hakidanganyi mama
Umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana
Mimi suruali yanidondoka
Tukimbizane nini Salome wangu
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini Salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Mimi nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili samasoti
Unantekenyaga ukinyonga Salome
Unantekenyaga ukinyonga
Unantikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga
Hoera makulu vane
Hoera ngambe
Hoera na Zari
Hoera ngambe
Utamu kolea aprokoto
Ting’ali ting’ali ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama koboko
Mapenzi yananipa shida
Shida maama
Ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana
Usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda
Huwa siendagi ngenge ni nganganga
Unantekenyaga ukinyonga Salome
Unantekenyaga ukinyonga
Unantikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga
Hoera makulu vane
Hoera ngambe
Hoera na Zari
Hoera ngambe
Mie mwenzako nyang’anyang’a
Mie binzari we ndo nyanya
Baby kwangwaru
Isimamie kama kangaroo
Ibane kangwaru
Babu Juma mpige kwakwaru
Kwakwaru kwakwa
Chambua kama karanga sasa
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga Salome
Chambua kama karanga
I say washa
Washa
Moto washa
Songa
Songa
Ugali songa
Songa
Mpaka chini
Mpaka chini
Wenye wivu wajinyonge leo
Wanye wivu wajiinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wanakodoa kodo
Wanakodoa (macho kodo)
(Wale kodo)
Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
No comments yet