MISTARI YA WIMBO HUU

Mmh mh
Iye iye iye iye
Mmh mh mmh mh
Yey yey

Asubuhi tu kukicha mi nazianza pilika
Mchana kutwa kutafuta nikutunze langu ua
Na uzuri ulionao nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio natamani nishinde kando yako
Na uzuri ulionao nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio
Natamani nishinde pembeni yako

Mi napata homa njiani na watu ukisimama
Na roho inaniuma sokoni kurudi umechelewa
Mi napata homa njiani na watu ukisimama
Na roho inaniuma sokoni kurudi umechelewa

Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama
Katu sitopenda nikukose mpenzi wee
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee

Ulishajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Ulishajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Wakijipitisha kutwa kucha
Waambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa
Pamba na magari ni vya kupita
Wakijipitisha kutwa kucha
Waambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa
Pamba na magari ni vya kupita

Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama
Katu sitopenda nikukose mpenzi wee
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU