MISTARI YA WIMBO HUU

Nazizima taa, naliwasha jiji
Nazizima Dar yes, nikem lil gwiji
Zizi zima damu, je we Yanga utatimba?
Si ishangilii Man U ndo niishushe Simba
Word, neno
Usiichukulie personal
Sio uzalendo kuiua Yanga uache Arsenal
Hizi ni pilipili kwenye keki ya birthday
Dili za Jumapili ni sadaka, they get pay
Mnachofanya sio siri, yere, msande
Mi ni hustler kama Pag, on church Sunday
And if I’m not a hustler, watchu call that?
Nigga please, usifanye kitu ili uje uni-please
Hizi kwetu ni kwa ajili ya watu na unakii
Mahitaji, wana kiu, nishakwambia ni kama maji
Mtaani wanatuhitaji, mziki wetu ni kama maji
Nia shida ya hapa Tanzinia
Ni kama Tanesco uliwasikia

Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe

Mziki wenu mnauchagua, mziki wetu unachaguliwa
Dunia hii watu wote ni sawa, ila kuna watu wamepewa
Kila mtu anataka dough mingi, umiza kichwa huumizi
Ukilala watalala, wanafanya kutuumiza
Changamoto ndo hasira, zile ndoto tutimize
Hustle hard zingine sina badi nisijiingize
Mambo ya ajabu ajabu, an aah, msiniingize
Nshapitia mambo mengi sahivi ujana tuukimbize
Kiutu uzima hii hapa kwa kasi mziki tuukuze
Baadae una kiinua mgongo, pesa bado ndo power
Tufanye tuziingize, sio kuwaingia wakina Hawa
Sanaa sio kazi kama we sio msanii mkubwa

Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe

Unaonja matam tam ya Weusi, masham sham
Huwezi ishiwa hamu, wana hamu
Wakisikia wanatabasamu
Wanataka tena, mziki mzuri dam dam
Tofautisha na bubblegum, hizi rand tam kama chewing gum
Tofautisha na bubblegum, dreams za kupata madem
Mziki kwetu maktaba za ghetto huwezi pata sehemu
Maisha halisi maarifa, ujumbe taaluma
Elimu ya kitaa sio sifa, ujumbe taaluma
Kama unatamani, hakika utapenda
Ni love bila chenga, tumejikita hatuwezi enda
Ah hamnioni, ah! Hawatuoni
Jinsi ninavyotararika, beat ya Ambia hamuioni
Ah! Sitaki tuzo, nataka future for my family
Mi, Weusi na huu mziki uende mbali
Sitaki tuzo, nataka future for my family
Mi, my niggas na huu mziki uende mbali

Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi, sanaa iwe ni kazi
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa
Sanaa isiwe
Sanaa isiwe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI