MISTARI YA WIMBO HUU

Nimesimama juu ya mlima mrefu wa Afrika
Mlima Kilimanjaro
Jihadi natangaza sauti ya dhahabu
Wote tumekubali

Basi hapo
Kote kote…
Hapo hapo
Sema nao, sema nao
Aisee tamu sana
Ayaaa…
Basi Shinyanga, Musoma
Kigoma, Morogoro, Dodoma kila sehemu
Wote oyaa
Oh ohh, ayaaa
Best wapi Mugambo
Rasta Ben, Sonda boy, Master Dulla
Ayaaa… aseeh staki

Nimesimama juu ya mlima murefu wa Afrika
Mlima Kilimanjaro
Jihadi natangaza sauti ya dhahabu
Kote tumekubali

Tena ayaa
Master Budi, Mwanza
Ayaa Arusha, Omari yero masahi
Ayaa… eh Mangandula Stabeli
Wayaa, wapi Sonda boy
Kula tena
Wayaa…
Wabidani, wapi tena Master Budi
Ayaa… Master, Master, Master
Aah uuwaa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI