MISTARI YA WIMBO HUU

Leo nataka nitoke na mpenzi wangu Sea
Ujue Sea nakupendaga sana

Sea wa mi valo
Sea wa mi valo
Sea niko wako
Wa kufa na kupona
Sea tutoke wote
Waseme niko wako
Sea wa mi valo
Sea wa mi valo (mama)
Sea
Sea

Sea wa mi valo
Sea wa mi valo
Sea niko wako
Wa kufa na kupona
Sea tutoke wote
Waseme niko wako
Sea wa mi valo
Sea wa mi valo (mama)
Sea
Sea

Sea wa mi valo ooh ooh Sea
Sea vaa vizuri
Tutoke mama
Wenye kusemasema ooh ooh Sea
Wabaki vinywa wazi mpenzi wangu Sea
Hata mvua ikinyesha ooh ooh Sea
Lazima tutoke leo mpenzi wangu Sea
Tuonyeshe mapenzi yetu ya ukweli Sea
Wale wabaya wetu eeh
Wabaki na aibu

Sea wa mi valo (mama yoo yoo)
Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
Sea niko wako (niko wako Sea)
Wa kufa na kupona (iih leh leh)
Sea tutoke wote (mpenzi wangu Sea)
Waseme niko wako (Sea Sea)
Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
Sea wa mi valo (mama)
Sea
Sea

Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
Sea niko wako (mama ya bana nanga)
Wa kufa na kupona (njoo kwangu mpenzi)
Sea tutoke wote (ooh mwenzio nateseka)
Waseme niko wako (mama yee eeh)
Sea wa mi valo
Sea wa mi valo (mama)
Sea
Sea

Vaa vizuri mpenzi wangu upendeze
Donge liwashike
Mabusu motomoto
Mimi na wewe mpaka kufa eh
Mama eh

Usiwasikilize
Hao wanaotaka kuharibu mapenzi eh

Baba na mwana
Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
Baba na mwana
Baba na mwana
Baba na mwana
Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
Baba na mwana

Baba na mwana
Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
Baba na mwana
Baba na mwana
Baba na mwana
Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
Baba na mwana

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI