MISTARI YA WIMBO HUU

Usiseme na kitaa, sema na mimi

Nimechoshwa na hayo mambo kila kukicha
Naona sasa yamenishika
Kupendwa gani huku kero tu
Nashinda nikilia, nikijuta
Unashinda ukilala, ukijuta
Kwanini yeye moyo ulimpa
Unashinda ukilia, ukiwaza
Kwanini yeye kwake ulikwenda

Baby (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae muelewane (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Usiseme na marafiki (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae msigombane

Ni moyo ule ule, ukeo mema na mabaya
Matamu na machungu
Ushaonawiri au sinyaa, naweza lia au cheka
Unashinda ukilala, ukijuta
Kwanini yeye moyo ulimpa
Unashinda ukilia, ukiwaza
Kwanini yeye kwake ulikwenda

Baby (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae muelewane (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Usiseme na marafiki (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae msigombane

Mpenzi wangu mie, leo nimeona nikwambie
Unawapa nafasi watuongelee, sema na mimi leo niko hapa
Mapenzi ya kwetu sie, ugomvi wa kwetu sie
Wewe sema na mimi leo niko baby
Nipooze, nitulize ma love
Kwako siwezi kuchukua time
Nalaza kichwa changu kifuani kwako
Mpenzi wangu nikufanye mto tonight
Wewe roho yangu walahi
Nikakupa penzi ufurahi
Nami nijidai, shika moyo wangu uhai
Achana na wanafki, najua shida yao masilahi
Aah! Masilahi

We sema nae
We sema nae
We sema nae
We sema sema

Baby (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae muelewane (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Usiseme na marafiki (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae (we sema nae)
Sema nae msigombane

We sema nae
We sema nae
We sema nae
We sema sema

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI