MISTARI YA WIMBO HUU

Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama

Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal

Excuse me girl unaitwa nani
Tell me mami umeniona wapi
Tell me mami umeniona wapi
Ningependa jua unaishi wapi
Umeniona kwenye TV
Umenisikia kwenye redio
Au niko club nakatika nimezungukwa na warembo
Wavimba macho wananiponda
Kwa stage nawapoteza
Sauti ninayo mamii
Come and dance na mimi
Waambie rafiki zako kuwa uko na mimi
Hey hey
Put your hands up baby
Haa Savimbi baby

Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal

Nakupenda kuliko pesa
Unachotaka mi ntakupa
Anaekupenda mama ni mmoja
Wanaokutamani mami ni wengi
Msimamo wako mami ndo napeta
Usiniache na majonzi mama
Usiniache na upweke darling
Mi limbukeni wa mapenzi mami
Nikipenda nimependa mami
Ukicheche niliacha zamani
Ukicheche niliacha zamani eh

Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal

Kata sista duu bwana kata
Honey eh kata mpaka chini we kata
Aiseh kata sista duu hebu kata
Kata kiuno kitingishike palme ali
Put your hands up baby
Mikoni juu
Haa Makofi kidogo
Aminia kichwa kimoja
Kimezungukwa na watu zaidi ya mia moja
Yoh si fedha na mi ni mi baby
Yah tunabambia
Kwa chart tunabambia
Unabambia kwa chart unabambia
Yeah aah Savimbi

Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Nilipokuona ulikuwa kwenye dancing floor
Nikaona nikufate maana eh umetoka sexy mama
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal
Cheza cheza
Woman katika katika mpaka chini baby gal

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Comments are off this post

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI