MISTARI YA WIMBO HUU

Je vous dance mama
Ongayo ngayo ngayo ngayo mama
Take you downtown to disco
Chini kwa chini kiuno
You’re my fire my desire
Nakupenda

I wanna see the ladies loose control
So turn around give it to me
Give it to me baby passionately

Nalingio mama
Wamanya ndakhuyanza you’re my fire my desire
Nakupenda

Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Aapo
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Aaaapo

Kaa rada karao anapita na bash imeshika
Drinks zamwagika kaa rada
Samba ni kusamba samba ni kusamba
Ju madame wa mtaa wanapenda chaapaa
Na machali wa mtaa wanapenda kuchana

Sa unapata mabuda wanasare mamatha
Na mamatha wa mtaa wanataka vijana

Oh Afrika
Afrika nakuombea
Watoto wako wasizidi kupotea
Urembo wako usizidi kudidimia
Oooh yeeah

Nalingio mama
Wamanya ndakhuyanza
You’re my fire my desire
Nakupenda

Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Aapo
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Aaaapo

Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Kwenda sukuma
Shake your bam bam
Aapo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI