MISTARI YA WIMBO HUU

Nahreel On The Beat
Ehee Ehee Ehee Ehee

Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Mawiziii
Tatizo ni demu wa mchizi
Kamekatiza na khanga na chizi
Macho yautesa moyo kichizi

Yeah
Body yako inavyopendeza kwa pamba shem
kweli soo
Hawashindani hakuna hata wa kutoa droo
Mabastola ulivyojaza mtaani kote soo
Unawaua na wanakufa makomandoo(shemejiiii)
Unawaacha watu wana crawl
Ukitembea mitetemeko shem Singida Dodoma
Na nyuma unaacha lawama
Kweli shem hauna mfano unanifanya niwe high
ka nimemoka cha Kapachino(shemejiiii)
Shem lake liko pretty pretty
Sura ya kitoto shem cute cute
Wanalitega shem, shem halitegeki
Shem hakiombeki, shem kudadadeki

Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Mawiziii
Tatizo ni demu wa mchizi
Kamekatiza na khanga na chizi
Macho yautesa moyo kichizi

Falsafa
Hatuzimi taa, haijawahi kuwaka
Shemeji, shemeji natamani ningekuwa kaka
Siwezi kustuka, akili zinaniruka
Siwashangai wanaufahamu una mwenyewe na
wanaitaka
Wivu wivu flani usio na maana ndo mapenzi
labda
Najilaumu nilikuwa wapi akakuona yeye kabla
Mpaka naelewa wana urithi wake sasa
Macho yanawatoka kitambo kama fisi ngoje
fursa
Kazidi sana uzuri mpaka anakuwa mitihani
Kila anachofanya mtego hata akisema ka ana
gun
Kama anaizingia nafasi hivi, ya kuwa mwizi hivii
Hata siamini nachosema juu ya shemeji hichi

Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Shemeji ah, shemeji we
Shem lake yeyeye
Unanitoa udede
Unanitoa udededeeenda (shemeji)
Mawiziii
Tatizo ni demu wa mchizi
Kamekatiza na khanga na chizi
Macho yautesa moyo kichizi

(Shemeeeeeji)
Mawizi
Wa mchizi
(Shemeeeeeji)
Na chizi
Kichizi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI