MISTARI YA WIMBO HUU

Shemeji sikiliza
Mdogo wangu analia
Shemeji sikiliza
Dada yangu anaumia

Shemeji sasa sikiliza umekosea
Dada yangu anakupenda mbona analia
Anatamani ukiwa tena kama
Mwanzoni ukampa heshima
Anakosa raha
Sababu amekuamini
Mbona unakosea
Sasa basi
Hatupendi tabia zako
Thafadhali ubadilike

Shemeji sikiliza
Mdogo wangu analia
Shemeji sikiliza
Dada yangu anaumia

Nasikia ulirudi alfajiri tena
Umelewa umekasirika umeongea vibaya
Zamani ukaniambia utamtunza
Mbona sasa we (wewe)
Umebadilika

Atakusamehe tena na tena
Ila nguvu zake inapotea
Inaniumiza nikiona analia
Shemeji shemeji shemeji

Shemeji sikiliza
Mdogo wangu analia
Shemeji sikiliza
Dada yangu anaumia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU