MISTARI YA WIMBO HUU
Sheri – Rich Mavoko na Fid Q
Na ding dong baby
Na di di di dong baby (yeah)
Uuh
Abba
I feel ka niko Dubai tunakula nyama choma baby
Umeniweza nawe tukaruke na magoma sheri
Motema nangae na maganja tutachoma for real
Nitaondoka nawe hata kama ukigomaa
Natamani nilewe niondoke na wewe aah mapema
Utafanya makosa sipo ondoka na wewe aah ukigoma
Ntafosi utakacho naogopa wapi mamacho
Wasiondoke na wewe
Yako mikato michoro fulani pikaso
Najimaliza mwenyewe
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) (ona mosusu nayo)
Sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) (sheri namba nawe)
Sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) (oh ndagukunda cane)
Sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Ningekuwa chumbani ningeweweseka nawe
Kwenye sita kwa sita
Zile purukushani za kuseleleka nawe
Kwenye chaki napitapita
Kifuani saa sita mamasita babalita
Ulivyo baby face
Sinyora margarita sinyorita kama picha tupige kifesi
Maa wee ni queen queen tena rasmi
Na umekaa kimjini jini yani nasty
Haifai nipewe namba yako kwa napkin
Na mudumu gumu nitupe kwa dustbin
Na nilitaka nikufuate nikwambie ya kwamba
Nataka nikwambie mwembamba huyu mukaka
Mkimbie kwenye shamba unenata
Alieka mdananda alechaha
Ntafosi utakacho naogopa wapi mamacho
Wasiondoke na wewe
Yako mikato michoro fulani pikaso
Najimaliza mwenyewe
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) (ona mosusu nayo)
Sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera)
Sheri (tetera) (sheri namba nawe)
Sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Oh sheri (tetera) (oh ndagukunda cane)
Sheri (tetera) sheri (tetera)
Sheri motema na ngai
Gal give me your number sweetie ooh baby
Please give me your number sweetie ooh baby
Gal give me your number sweetie ooh baby
Please give me your number sweetie ooh baby
Kwanza Kifuani saa sita mamasita babalita
Ulivyo baby face
Sinyora margarita sinyorita kama picha tupige kiface
Mi ndo bad man Richard
Bad
Bad Richard
Abba
Richard
No comments yet