MISTARI YA WIMBO HUU

Show Me – Harmonize na Rich Mavoko

Aiyo Laizer
Wasafi Reacords

Ai
Mwenzako I feel so good pindi nikikuona
Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
Ati
Unakwenda au unarudi wakata kona
Nyuma ka katuni za Masudi ulivyonona
Heh
Hivi unapenda wa vifua kama roboti
Ama sanamu au wazee wa kununua
Mwaga noti akina Sallam

Ooh
Anita
Macho kama unanita aah
Saa sita
Shepu Vera Sidika
Aah
Anita
Macho kama unanita aah
Saa sita
Shape Vera

Ah show me
Show me
Show me
Unavyonesa
Show me
Show me
Show me
Waoneshe unavyonesa
Ah show me
Show me
Show me
Unavyonesa
Show me
Show me
Show me
Waoneshe unavyonesa

Umenifinyanga kama dona
Mmakonde na ndonya
Kama mpira Maradona
Kichuya kona
Na wakisema na mawenge eeh
Waambie Werrason
Wakiringisha peremende
Nitakugawia koni
Chunga kipenzi majaribu
Mabaya sana ooh
Na we ndo doctor wa kunitibu
Niwe salama oh
Ooh babe

Ooh
Anita
Macho kama unanita aah
Saa sita
Shepu Vera Sidika
Aah
Anita
Macho kama unanita aah
Saa sita
Shape Vera

Ah show me
Show me
Show me
Unavyonesa
Show me
Show me
Show me
Waoneshe unavyonesa
Ah show me
Show me
Show me
Unavyonesa
Show me
Show me
Show me
Waoneshe unavyonesa

Wasafi
Asa Mombasa Nairobi
Sakata dance
Kampala na Kigali
Sakata dance
Ati Zimbabwe kwa Tobby
Sakata dance
Naija Somali toto
Sakata dance
Wanangu wa Panya Road
Sakata dance
Cha ukucha kwa sadali
Sakata dance
Na unyamani BoB
Sakata dance
Dizonga kwa Natali toto
Sakata dance

Aah aah
Unavyonesa
Aah aah
Waoneshe unavyonesa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU