MISTARI YA WIMBO HUU

Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge Nitajisumbua
We jichunge tu mwenyewe
Mmh
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea ila bado nipo nawe
Mmh
Ata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila she is my number moja wengine watangoja
Ah niongezee mapenzi niizidi kolea

Pale nnapokuona Shulalala Shula
Yarabi moyo Shulalala Shulaa
Eh Pale nnapo kusikia Shulala Shula
Shula wangu Shulalalashula

Mavin
Wololo lolo yeah Korede Bello
Want you to know that I’ll will be there (I’ll will be there)
Girl I will be there till the end oh
So don’t let baby
Don’t let nobody come interfere (come interfere)
Let them say what they want to say sando
Shuba bochu beyanju (yelele)
Kuumanyeu (yelele)
Kojubarobuu baamaje koyau (yelele)
Girl I promise you forever (ever)
Never leave you never (ever)
Where you go (I will go I’ll goooo)

Pale napomuona-aa Eh Shulalalaa shula
Jamini moyo wangu Shalala-la-la Shula
Pale ninapo musikia Shulala Shula
Yarabi moyo wangu Shulala-laa shula
(Yarabi moyo)

Aaah
Unizalie ka-cute ka-cute Katifah Dagote
Nikuvalishe na misuit misuit upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe Hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
Wanivumilia na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sinaa
Tena nakuapia Haki ya Mungu sitakuacha

Na Kama ukinipenda sana
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawee
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa na wewe
Nitaringa Baby Ooh
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nawee
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
(Wasafi Records)
Oooh Yeah (ringa ringa eeh)
Nitaringa ringa eeh ringa ringa eeh
Aah aah me na wee
Eeh Nitaringa ringa eeh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU