MISTARI YA WIMBO HUU

Oh siamini
Kama tupo wote
Kama tupo wote
Mimi na wewe
Mimi na wewe

Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mingi tumeshuka
Oh, maneno mengi walisema, kote bara
Visiwani oh oh oh
Kidani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini

Oh siamini
Kama tupo wote
Kama tupo wote
Mimi na wewe
Mimi na wewe

Taarifa hii timamu
Tulika na kitimu timu
Tulishanakuwa pwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi hasilani
Mwenzio nipo taabaniiii oh oh oh
Kidani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini

Oh siamini
Kama tupo wote
Kama tupo wote
Mimi na wewe
Mimi na wewe

Hallo hallo
Hebu nieleze manake natoka zangu Zanzibari nafika Darisalama
Kila kona nasikia siamini kwani nani huyu kijana
T. I. D
Allaa kumbe weye

Yu wapi wee, (hallo hallo)
Yu wapieee mama ke harusi aje hapa tuhangaike naye
Yu wapiee
Yu wapiee baba yake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yu wapiee
Yu wapiee kaka ‘ake harusi aje hapa tuhangaike naye
Ah hapa (sema nao basii haloo kwa raha zangu!)
Eti aje hapa
Eti aje hapa
Sema tena aje hapaaaaa oohhh

Oh siamini
Kama tupo wote
Kama tupo wote
Mimi na wewe
Mimi na wewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI