MISTARI YA WIMBO HUU

Acha niimbe kisha ni rap kuhusu we
Nitambe nijivunie kuwa nawe
Unanipa furaha mpaka nadata
Sina mabawa lakini nahisi napaa
Chochote unachokivaa kinakamata
You got it from your mama
Mama aliyekuzaa
Money money najua kuzitafuta
Chochote utapata come on ma
Njoo tubembelezane kwenye pepo za bahari
Kila kitu shwari mama
Anasema na uongo hataki anauliza
Niko na wangapi
Namjibu mpo wengi
Ila kwako nimestuck na ukipenda
Siendi sikwachi

Hivi ni nani alileta mapenzi
Sili silali kwako sijiwezi
Acha nivimbe naee (nivimbe nae)
Wacha niende nae (ni mimi nae)
Sitaki nigombane nae (siachani nae)
Yangu ni wewe

You are my dream girl am I dreaming
Umenileta kwenye dunia nyingine
We ndo unanifanya nikwimbe
We ndo unafanya mimi nitambe
Boss wanigande boss na wapambe
Babe nakupa ngazi hadhi yako upande
Babe all eyes on you
Kule juu kwa juu
Do what you gotta do
Mr ney all on you
Anasema na uongo hataki anauliza
Niko na wangapi
Namjibu mpo wengi
Ila kwako nimestuck na ukipenda
Siendi sikwachi
Sio wazimu mimi ni kichaaa kabysa
Cjakwona bado hakujakucha
We ni mwalimu huchoki kunifundisha
We ni starehe unataka tuwe na maisha

Hivi ni nani alileta mapenzi
Sili silali kwako sijiwezi
Acha nivimbe naee (nivimbe nae)
Wacha niende nae (ni mimi nae)
Sitaki nigombane nae (siachani nae)
Yangu ni wewe oyee
Hivi ni nani alileta mapenzi
Sili silali kwako sijiwezi
Acha nivimbe naee (nivimbe nae)
Wacha niende nae (ni mimi nae)
Sitaki nigombane nae (siachani nae)
Yangu ni wewe oyee

Only you babe you babe
I’ll die for you
Only you babe you babe
I’m down for you
Only you babe you babe
i’ll die for you
Only you babe you babe
I’m down for you

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI