MISTARI YA WIMBO HUU

Ayaiyayaiyaiyah

Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona

Eh nimesemwa sana jamani
Hamchoki?

Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona

Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki hakuna alie msafi

Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona
Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona

Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanii kwa ukweni
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi

Ooh siku hazigandi hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi hakuna alie msafi

Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu

Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona
Yote mlosema
Mlotenda
Nasahau nasonga mbele
Mangapi yamesemwa
Mangapi nimeona mh mliosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa mangapi nimeona

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU