MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah
Single boy
I’m a single boy
Oh yeah perfect boy
Pop it in pop it in pop it in
Pop it in (single)

Pombe ni kichwa kinauma
Kishalewa
Anajipoza na maji
Na mimi hata muda sina
Nishamkanya
Ninasikiza ma-melody
Nishamwambia nini wewe
Kupenda sana
Utakuwa chizi
Hayanaga mjuzi yale
Kila mtu analilia mapenzi

Karibu chama la bachelor
Ukinipenda
Namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana
Ishakuwa poa poa tu
Hakunaga mapenzi yale
Yakugandana ni zama za kale
Money on the table now
Kinachofata ni mimi na
wewe
Na wewe

Who’s the single boy
I am a single boy
Who’s the single boy
I am a single boy
Who’s the single boy
Mi na we single boy
Who’s the single boy
Single single single boy
Who’s the single boy
I am a single boy
Who’s the single boy
We the single boy
Who’s the single boy
Mi na we single boy
Who’s the single boy
Single single single boy
Who’s the single boy
I am a single boy

Nimemkuta analia
Kajilaza
Sababu amechoka
Mengi amevumilia
Yalomkwaza
Anataka
Kuondoka
Ana siku ya pili sasa
Hajarudi nyumbani kulala
Namuonea huruma sana
Haya mapenzi hayana maana

Karibu chama la bachelor
Ukinipenda
Namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana
Ishakuwa poa poa tu
Hakunaga mapenzi yale
Yakugandana ni zama za kale
Money on the table now
Kinachofata ni mimi na Wewe
Na wewe

Who’s the single girl
Who’s the single girl
Who’s the single girl
Who’s the single girl
I’m the single single girl
Who’s the single girl
Who single girl
Who’s the single girl
Single single girl
Who’s the single girl
who the single girl
Who’s the single girl
Single single girl

Who’s the single girl
Who’s the single boy
I am a single boy
Who’s the single girl
Aah single girl
Who’s the single boy
Mi na we single boy
Who’s the single boy
Single single girl
Who the single girl
Who the single girl
Who the single boy
Single single boy
Who the single boy
I’m a single boy!

Yeah yeah
Yeah yeah single
Oh yeah perfect boy
Pop it in pop it in pop it in
Pop it in! (single)
Single boy single boy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU