MISTARI YA WIMBO HUU

Sio kisa pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya
Ni mapenzi, ni mahaba
Pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya
Ni mapenzi, ni mahaba

Asubuhi ikifika sina raha
Na jioni nikirejea ni karaha
Naumia mama mia, naumia mama mia
Wala mie sina raha, sina raha
Nakunywa nikitoa mawazo
Sitaki nifike tugombane
Tabasamu twafurahi
I love you boy, you’re my one and only

Sio kisa pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya
Ni mapenzi, ni mahaba
Pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya
Ni mapenzi, ni mahaba

Sometimes, nikirudi home
Namkuta kanuna, kavimba analia eti ana njaa
Mke inaniuma, sema nitafanya nini wakati amenuna
Oh oh oh oh, vipi baba
Nakusemesha mbona hausemi
Nakuchekesha mbona haucheki
Inaniuma sana
Nakunywa nikitoa mawazo
Sitaki nifike tugombane
Tabasamu twafurahi
I love you boy, you’re my one and only

Sio kisa pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya (what is it then)
Ni mapenzi, ni mahaba
Pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya (what is it then)
Ni mapenzi, ni mahaba

It’s not pombe, girl, what is it then
So mapenzi yanafanya unani-drive insane
Siku za mwanzo na za sasa, sad insane
Natetea sana pombe, what’s the one to blame
Ushanifanya screen saver, yeah you deny
Nakuuliza say whatever, sawer is the dever
Unajifanya yeah clever, unataka u-break promise
Says tuishi forever, forever, forever
Serious girl ni expertnation
Na nataka twende sawa kwenye hii relation
I know it’s love, tusikaribishe tempation
So you better get straight, tu-reduce confusion
Girl, ay, tu-reduce confusion
(Eti anasema kisa sio pombe)
Rocka (hovyo)

(I love you boy, you’re my one and only)

Sio kisa pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya (what is it then)
Ni mapenzi, ni mahaba
Pombe mama
Eti zinazonichanganya
Zaidi ya mitungi mama
Eti yanayonichanganya (what is it then)
Ni mapenzi, ni mahaba

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI