MISTARI YA WIMBO HUU

Tosa la secret baby
Jamais
Oh mamaa maa
Oh nanaa naa
Yooo zane valee baby
Yooo zane valee papaaa

Treni langu la kutongoza
Limefunga breki na kituo ndo wewe (ndo wewe kipenzi)
Sina mengi mimi
Sio mtoto wa mjini
Nimefundwa jandoni kipenzi

Hadithi Hadithi uwongo njoo
Nae anieleze porojo
Mie bado mdogo
Ivi ni juzi ulikuja na mauwa (yes)
Ulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (why)

Ungesoma ndani (why)
Ungejua vingi (no)
Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii iih
Wewe una mume (nampenda)
Nami nina mke
Twaweza iba bado wasishituke (loh)

Kumbe muhuni iih iih iihi
Aku siwezi kushare penzi no way
Kasoro yangu nini iih iih iih
Si una mke yule amekosa nini
Ohuu yeah Uuhu

Kwanza ningekuomba
Kupenzi ukubali iih
Tutafanya siri iih
Ya watu wawili

Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga siri
Ya watu wawili

Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na vi-salary
Utakuwa bonge la sister duu

Aliniifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana

Kwetu nyumbani iih
Tumekulia kwenye dini mmh
Penda wako nyumbani kwanza
Kisha unipende mimi mmh (awe muwongo baba)

Aaasante
Kwa muda wako
Nimependa majibu yako
Hivi nikuulize swali (niulize nini)
Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya
Mi muhuni (muongo)
Niseme nini (muongo)
Kila kitu (muongo)
Maneno yangu hayakuvuna pendo

Hunajipya (muongo)
Useme nini (muongo)
Maneno ya (uongo)
Kibaya zaidi mke wako akijua

Kumbe muhuni iih iih iih
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini iih iih iih
Si una mke yule amekosa nini (oh no no)
Ohuu yeah uuhuu (Ebo)

Ukikubali
Nitakupa kagari
Na vi-salary
Utakuwa bonge la sister duu

Aliniifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana

Kwanza ningekuomba
Kupenzi ukubali iih
Tutafanya siri iih
Ya watu wawili

Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga siri
Ya watu wawili

Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na vi-salary
Utakuwa bonge la sister duu

Aliniifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI